| Belief & Creed |
| - |
General (11)
|
| - |
God and His Justice (4)
|
| - |
Prophethood
|
| - |
Imamate (4)
|
| - |
Resurrection (4)
|
| - |
Comparative & Polemical - Within Islam (36)
|
| | |
Sunni and Shi'a (35)
|
| - |
Comparative & Polemical - Other Religions (4)
|
| | |
Islam and Christianity (4)
|
| | |
Islam and Hinduism
|
| - |
Comparative & Polemical - Western thought
|
| DILP Projects |
| Gallery of Audio, Video, Images, and Calligraphy |
| - |
Adhan (Call to Prayer)
|
| - |
Art, Images, and Calligraphy (1)
|
| - |
Dua Recitation
|
| - |
Elegies (Nawha/Latmiyyah) (1)
|
| - |
Eulogies (Na't, Manqabat, Qasidah) (3)
|
| - |
Events
|
| - |
Lectures (85)
|
| - |
Movies
|
| - |
Presentations
|
| - |
Qur'an Recitation
|
| - |
Speeches of the Ahlul Bayt
|
| - |
Ziyaraat (Salutations)
|
| Hadith and its Sciences |
| - |
Hadith Sciences (2)
|
| - |
Sayings and Traditions (9)
|
| History and Biography |
| - |
General (1)
|
| - |
Before Muhammad (4)
|
| - |
The Prophet Muhammad and Early Islam (102)
|
| | |
General (1)
|
| | |
The Prophet Muhammad - Life and Teachings (25)
|
| | |
Imam Ali (13)
|
| | |
Fatima al-Zahra (15)
|
| | |
Imam Hasan (1)
|
| | |
Imam Husayn and Karbala (28)
|
| | |
Imam Zayn al-`Abideen (2)
|
| | |
Imam Muhammad al-Baqir
|
| | |
Imam Ja'far al-Sadiq (1)
|
| | |
Imam Musa al-Kadhim (1)
|
| | |
Imam Ali al-Ridha
|
| | |
Imam Muhammad al-Taqi (1)
|
| | |
Imam Ali al-Naqi (1)
|
| | |
Imam Hasan al-Askari (1)
|
| | |
Imam al-Mahdi (4)
|
| | |
Khadija (2)
|
| | |
Companions (6)
|
| - |
From 8th - 18th Century AD
|
| | |
Scholars
|
| - |
Recent & Contemporary (1)
|
| | |
Scholars
|
| Islamic Education |
| - |
Community Resources
|
| - |
Hawza - Advanced Islamic Studies (29)
|
| | |
Aqaid (Theology)
|
| | |
Fiqh (Jurisprudence)
|
| | |
Ilm al-Hadith (2)
|
| | |
Ilm ar-Rijal
|
| | |
Irfan (Esoteric Islam)
|
| | |
Islamic Philosophy
|
| | |
Language Studies
|
| | |
Mantiq
|
| | |
Tafsir al-Qur'an (Exegesis) (27)
|
| | |
Tarikh (History)
|
| | |
Ulum al-Qur’an
|
| | |
Usul al-Fiqh
|
| - |
Islamic Weekend School (Madrasah)
|
| Kids Korner |
| - |
Books and Activities (8)
|
| - |
Images
|
| Laws, Practice, and Worship |
| - |
Death & Dying (2)
|
| - |
Economics (1)
|
| - |
Fiqh and Ijtihad (Derivation of Law)
|
| - |
General (4)
|
| - |
Hajj (Pilgrimage)
|
| - |
Hijab (Islamic Modest Dress) (3)
|
| - |
Jihad (Struggle in the Way of Allah) (6)
|
| - |
Marriage (6)
|
| - |
Promoting Good and Preventing Evil
|
| - |
Ramadan and Fasting (3)
|
| - |
Salaat (Ritual Prayer) (6)
|
| - |
Zakat, Khums, and Sadaqah (Charity) (2)
|
| Other |
| - |
Archives of Scholarly Journals
|
| | |
Al-Serat Article Archive
|
| | |
Al-Tawhid Article Archive
|
| | |
Al-Thaqalayn Article Archive
|
| - |
Islamic Publishers & Booksellers
|
| - |
Book Introductions
|
| - |
Stories & Poems (1)
|
| Politics/Current Events |
| - |
Colonialism and Human Rights (1)
|
| - |
Media (1)
|
| - |
Orientalism
|
| - |
Terrorism and Violence (1)
|
| Qur'an and its Sciences |
| - |
Qur'an Recitation
|
| - |
Qur'anic Sciences (3)
|
| - |
Text, Translation, and Commentaries (37)
|
| Science and Islam |
| - |
General
|
| - |
Islamic Economics (2)
|
| Society |
| - |
Family & Societal Issues (2)
|
| - |
Women (3)
|
| - |
Youth (3)
|
| Supplications, Spirituality, Ethics, and Philosophy |
| - |
Philosophy, Sufism, and `Irfan
|
| - |
Du'a (Supplication) (4)
|
| | |
Du'a Recitation
|
| - |
Ethics (20)
|
| - |
Philosophy
|
| - |
Spirituality, Sufism, and `Irfan (1)
|
| | |
Family & Societal Issues
|
| | |
Youth
|
|
|
 |
|
|
| List All |
|
|
|
|
|
|
|
|
(277) |
(171) |
(1) |
(13) |
(60) |
(1) |
(30) |
(1) |
 |
Full-Length Text |
 |
Haja Ya Dini
by Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
[Swahili]
|
Views: 21681 |
|
The Need of Religion |
|
 |
Haki za Wanawake Katika Uislamu
by Allama Murtada Mutahhari
[Swahili]
|
Views: 20411 |
Mahitaji ya zama zetu hizi yanamlazimisha kutathmini maswali mengi yenye umuhimu na sio kuridhika na tathmini zake za awali. Mfumo wa haki za ndoa na majukumu ya kifamilia ni miongoni mwa masuala haya.
Suala la msingi kabisa juu ya kifamilia, ni iwapo mfumo wa ndoa unajitegemea na hautangamani na mifumo mingine yote ya kijamii na una vigezo na mantiki take maalum, au ni moja tu ya mifumo mingi ya kiajmii na kuwa vigezo na falsafa zile zile zinazotumika kulishugulikia suala hili kama ilivyo kwa mifumo mingine ya kijamii.
Swahili translation of Shahid Mutahhari's Rights of Women in Islam (also available on this website). Approx. 315 pages. Kimetarjumiwa na: Aziz Njozi. Kimehaririwa na: Dr. M. S. Kanju. Kupangwa katika Kompyuta na: Ukhti Pili Rajab. Toleo la kwanza: Mei, 2007. Kimetolewa na kuchapishwa na: Alitrah Foundation, P.O. Box 19701 Dar es Salaam, Tanzania. Simu:+255 22 2110640. Fax: +255 22 2131036. Email: info@alitrah.org. Website: www.alitrah.org |
|
 |
Hidaya Ya Ramadhani
by Ductoor A. Kadir Sudi
[Swahili]
|
Views: 16839 |
|
Kitabu hiki kinazungumzia kufunga na kufungua katika mwezi mtukufu wa Ramadhani na vile Muislamu anatakiwa awe katika mwezi huu. |
|
 |
Hijab
by Mohammad Ebrahim Al-Muwahid
[Swahili]
[Zip] |
Views: 17901 |
|
Hili ni vazi rasmi kwa wanawake wa ki-Islamu kama ilivyoainsihwa katika Qur’an Tukufu, na ni amri sahihi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Ni vazi la heshima kwa mwanamke, vazi linalo linda utu wa mwanamke, vazi linalo muondelea mwanamke usumbufu mitaani, vazi linalo linda heshima ya mwanamke, vazi linalo ondoa maovu na uchafu katika jamii, vazi linalo watambulisha wanawake wenye heshima na vazi linalo mlinda mwanamke kutokana na maovu. |
|
 |
Hijab - Vazi la Mwanamke wa Kiislamu
by Muhammad Ibrahim Kadhim Al-Qazwini
[Swahili]
|
Views: 16550 |
Hili ni vazi rasmi kwa wanawake wa ki-Islamu kama ilivyoainsihwa katika Qur’an Tukufu, na ni amri sahihi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Ni vazi la heshima kwa mwanamke, vazi linalo linda utu wa mwanamke, vazi linalo muondelea mwanamke usumbufu mitaani, vazi linalo linda heshima ya mwanamke, vazi linalo ondoa maovu na uchafu katika jamii, vazi linalo watambulisha wanawake wenye heshima na vazi linalo mlinda mwanamke kutokana na maovu.
Kimetarjumiwa na: Ustadh Msabah Sha'ban Mapinda
Kimetolewa na kuchapishwa na: Al-Itrah Foundation
Email: info@alitrah.org
Website: www.alitrah.org |
|
 |
Historia na Sira za Viongozi Waongofu - Sehemu ya Kwanza
by Jopo la waandishi wa Vitabu vya Kiada
[Swahili]
|
Views: 15661 |
Hakuna shaka kuwa historia ya mwanadamu ndio chemchemu na chanzo cha maarifa, chanzo ambacho mataifa yanakihitaji katika safari yake yenye kuendelea. Na ndio chanzo pekee chenye uwezo wa kuhuisha na kulisukuma taifa mbele na kulipa sifa na hadhi maalumu huku kikilifunganisha taifa hilo na miziza yake ya ustaarabu ambayo hulizuwia taifa dhidhi ya mmomonyoko.
Qur'ani inamhimiza kila mwanadamu ikimtaka azame ndani ya historia ya mwanadamu na azingatie yaliyomo ili awaidhike na kuongoka, hivyo Mwenyezi Mungu anasema: "Je, hawatembei katika ardhi ili wapate nyonyo za kufahamia au masikio ya kusikiliza...?" (22:46) Baada ya Mwenyezi Mungu kutoa historia ya Adi, Thamudi, Firauni, watu wa miji iliyopinduliwa na watu wa Nuh, akasema: “Ili tuifanye ukumbusho kwenu na sikio lisikialo lisikie.” (69:12)
Historia ya ujumbe mbalimbali wa Mwenyezi Mungu imejaa masomo na mazingatio, masomo ambayo yameonyesha jinsi Manabii watukufu walivyojali mataifa yao ili kuyaokoa kutoka kwenye matatizo mbalimbali. Haya na mengine utayakuta ndani ya kitabu hiki.
Kimetarjumiwa na: Hemedi Lubumba Selemani
Kimetolewa na kuchapishwa na: Al-Itrah Foundation
Email: info@alitrah.org (Website: www.alitrah.org)
A translation of: Tarikh wa Sirah al-Qadat al-Hudat |
|
 |
Hukumu za Kifikihi Zinazowahusu Wanawake
by Mustafa Ranjbar Shirazi
[Swahili]
|
Views: 12624 |
"Ni jambo la wajibu juu ya kila mtu kujiunza masiala ambayo yanamtokea mara kwa mara." (Hii ni kauli ya wanavyuoni wa kifikihi iliyodondolewakutoka vitabu vya fatwa au hukumu za kifikihi). Hakika kipindi cha ujana kinahesabika kuwa ndiyo fursa yenye thamani katika kujipatia maarifa na kuyavuta kutoka kwenyvyanzo vya elimu ambavyo mtu atafidika navyo muda wote wa uhai wake. Kila umri wa mwanadamu unavyosonga mbele, ndivyo majukumu yake yanavyozidi na maisha yake kuwa na msongamano. Kwa hali hiyo, basi hukosa fursa ya faragha itakayoruhusu kujifunza yale yanayomlazimu miongoni mwa hukumu za sheria za Kiislamu, na maoni ya wanavyuoni wa sheria, ambazo nyingi miongoni mwa hizo huenda atazihitaji katika maisha yake hapo baadaye. Bila shaka mwanadamu anahitaji kuwa na wigo katika kufanya mabadiliko ya kibinadamu ndani ya safari yake ya maisha.
Kimetarjumiwa na: Ukhti Maysarah Ali
Kimetolewa na kuchapishwa na: Al-Itrah Foundation
Email: info@alitrah.org (Website: www.alitrah.org) |
|
 |
Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia
by Sayyid Abdul Rahim al-Musawi na Sheikh Abdul Karim al-Bahbahani
[Swahili]
|
Views: 9466 |
Kwa Waislamu, imani ya kuja kwa Mahdi (Muhudi) karibu ya mwisho wa dunia ni imani ambayo ina asili katika dini. Waislamu wote bila kujali tofauti za madhehebu zao wanakubaliana juu ya imani hii kwamba Mtukufu Mtume (s.a.w.) alisema: "Hata iwe imebakia siku moja tu kwa dunia hii kufikia mwisho wake Allah atairefusha siku hiyo ili kumwezesha Imam huyo kutawala na kuujaza ulimwengu huu uadilifu, amani na utulivu wakati ambapo ulikuwa umejaa ufisadi na dhulma." Kitu cha kuvutia ni kwamba imani hii haiko kwa Waislamu tu bali hata katika dini nyingine wana imani kama hii kwamba atatokea mtu wakati wa mwisho ambaye ataondoa dhulma na ufisadi na kuujaza ulimwengu huu uadilifu, amani na utulivu. “Hakika ulimwengu unalingojea suluhisho litakaloukusanya chini ya bendera moja na tamko moja.” (Bertrand Russell)
Kimetarjumiwa na: Hemedi Lubumba Selemani
Kimetolewa na kuchapishwa na: Al-Itrah Foundation
Email: info@alitrah.org (Website: www.alitrah.org) |
|
 |
Je Kufunga Mikono Ni Bidaa au Sunna
by Ayatullah Ja'far Subhani
[Swahili]
|
Views: 13707 |
Je, Kufunga Mikono Ni Bidaa au Sunna? Kwa Mtazamo wa Qur'ani na Sunna. Kimetarjumiwa na: Hemedi Lubumba Selemani. Kimehaririwa na: Ustadh Abdallah Mohamed. Toleo la kwanza: Julai 2007
Kimetolewa na kuchapishwa na: Alitrah Foundation. P.O. Box 19701 Dar es Salaam, Tanzania. Website: www.alitrah.org (Email: info@alitrah.org). Original Title: al-Qabdh baina al-Bid'ah wa as-Sunnah. |
|
 |
Jee Shia Huamini Tahreef?
by Amiraly M.H. Datoo
[Swahili]
[Zip] |
Views: 17461 |
|
Do Shias believe in the interpolation (Tahreef) of the Qur'an? |
|
 |
Johari za Hekima kwa Vijana
by Muhammad Reyshahri
[Swahili]
|
Views: 8302 |
Kimetarjumiwa na: Hemedi Lubumba Selemani
Kimetolewa na kuchapishwa na: Al-Itrah Foundation
Email: info@alitrah.org (Website: www.alitrah.org)
A translation of: Jawaahiru ‘l-Hikmah li ‘sh-Shabaab |
|
 |
Kanuni za Ndoa na Maadili ya Familia
by Hujjat al-Islam Ibrahim Amini
[Swahili]
|
Views: 18945 |
Katika kitabu hiki mwandishi amefanya jitihada kubwa kufanya utafiti na uchunguzi wa kina wa somo la mfumo wa maadili ya familia na uhusiano wa mume na mke, kwa mtazamo wa kiislamu. Kitabu hiki kitafaa sana katika jamii yetu hii ambayo imemomonyoka mno kimaadili kwa kuiga tamaduni za kimagharibi ambazo zimewapotosha wengi katika vijana wetu. Na ingawa kimeandikwa kwa mtazamo wa kiislamu, lakini ni kitabu ambacho kitawafaa sana hata wasio waislamu, kwani kinazungumzia maisha ya ndoakwa ujumla.
Kimetajumiwa na: Al-Akh Salman Shou
Kimetolewa na kuchapishwa na: Al-Itrah Foundation
P. O. Box 19701, Dar-es-Salaam, Tanzania
Email: info@alitrah.org / Website: www.alitrah.org
English title of this book: Principles of Marriage |
|
 |
Karbala
by Amiraly M.H.Datoo
[Swahili]
[Zip] |
Views: 30022 |
|
This is a picture guide. Please note file size: 734 kb (due to pictures). |
|
 |
Khadija-tul-Kubra
by Sayyed A. A. Razwy
[Swahili]
|
Views: 15650 |
Khadija alikuwa mke wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w.w). Maisha ya Khadija yamejaa utajiri wa mwongozo wa kimungu. Sifa yake kubw katika maisha yake ya kiutakatifu, ilikuwa ni imani yake isiyo na kifani juu ya Uislamu. Imani yake ilikuwa kama jabali katika bahari iliyochafuka.
Khadija alifuzu katika mitihani yote hiyo. Ufunguo wa kwenye mafanikio yake ilikuwa ni upendo wake kwa Mungu, mapenzi kwa mume wake na kujituma kwake ili kuufanya Uislamu ufanikiwe. Yeye alikuwa mfano ambao wanawake wanaweza kuiga katika maisha zao.
Mke wa Mtume Muhammad {Mungu Amrehemu}
Historia fupi ya maisha yake (A short history of her life)
Kimetarjumiwa na (Translated to Swahili by):
al-Akhy Salman Y. Shou |
|
|
Pages: 2
|
|