Kitabu hiki kinazungumzia kufunga na kufungua katika mwezi mtukufu wa Ramadhani na vile Muislamu anatakiwa awe katika mwezi huu.