Mtu mmoja alimwijia Imam Ali a.s. na kumwambia: "Ewe Amir al-Muminiin! Mimi nilikuwa na tende mke wangu alitoa kokwa moja aliweka mdomoni. Nilikula kiapo cha yeye asimeze wala kutema." Imam Ali a.s. alimwambia: "Mwambie ale nusu na ateme nusu, kwani ndivyo utakuwa huru kwa kiapo chako."
|