Mtu mmoja alimwijia Imam Ali bin Husayn a.s. na kusema: "Mimi nimezoea mno zinaa na kuingiliana na wanawake kila usiku na hufunga saumu asubuhi." Imam Ali a.s. alimjibu: "Utiifu wa Allah s.w.t. ni bora ya kila kitu, usizini wala kufunga saumu." Hapo Imam Mohammed Baquir a.s. aliwambia: "Ewe bwana! Matendo yako ni ya kisheitani na huku ukitarajia kupata Pepo?"
|