Subject Index
Search
Announcements
Feedback
(28). HAKUNA MAHARI KATIKA KUBAKA
Imam Ali a.s. alisema: "Mtu aliyembaka mwanamke hatalipa mahari yoyote kwa mwanamke yule bali ataadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kwake. Hata hivyo, yule mwanamke hataadhibiwa kwani amelazimishwa pasi na hiari yake.