Subject Index
Search
Announcements
Feedback
(29). MKE MZINIFU BWANA AWAPO JELA
Mwanamke mmoja alishitakiwa kuzini wakati ambapo bwana wake alikuwa amefungwa jela. Imam Ali a.s. alitoa hukumu ya kuchapwa viboko badala ya kupigwa mawe hadi kufa.