Subject Index 
Search
Announcements
Feedback
(30). KUBOMOKA KWA NYUMBA

Imam Ali a.s. alipokuwa Yemen, aliletewa kesi moja kuwa nyumba moja imeporomoka na katika mabaki ya ile nyumba walipatikana watoto wawili. Mmoja wao alikuwa mtumwa wakati mwingine alikuwa huru.

Imam Ali a.s. alimpatia mtumwa kile kilichopatikana chini ya mabaki ya nyumba iliyoporomoka na alimpatia umilikaji wa nyumba ambamo kiwanja chake yule aliyekuwa huru. Vile vile alimfanya huru yule aliyekuwa mtumwa.