Subject Index 
Search
Announcements
Feedback
(32). ZINAA, MKE AKIWA MBALI

Imam Ali a.s. alipokuwa akienda Makka kuhiji, aliletewa mtu mmoja aliyetuhumiwa kuzini.

Umar alitoa hukumu ya kupigwa mawe hadi kufa.

Kwa kuyasikia hayo yaliyotokana na Umar, alimwambia: "Adhabu kamili iliyowekwa na Sharia za Din ni kuchapwa viboko na wala si kurajimiwa kwani ana mke, ambaye wakati huo yupo mbali nae."