Bwana Muhammad bin Abu Bakr alimwandikia Imam Ali a.s. akimwulizia adhabu kwa mwanaume Muislamu kuzini pamoja na mwanamke mkristo au Myahudi. Imam Ali a.s. alimjibu: "Iwapo mwanamme wa Kiislamu ameoa, basi arajimiwe, na iwapo bado hajaoa, achapwe viboko mia moja. Ama mwanamke wa kikristo au Kiyahudi, apelekwe uhamishoni.
|