Subject Index 
Search
Announcements
Feedback
(34). MWANAMKE MZIMA NA MTOTO MDOGO

Kesi ya zinaa ya mwanamke mzima pamoja na mtoto mdogo iliamriwa na Umar kuwa mwanamke huyo arajimiwe.

Imam Ali a.s. aliposikia hivyo, alisema: "mwanamke huyo asirajimiwe bali achapwe viboko kwani mtoto katika swala hili bado yu mdogo hivyo hawezi kutofautisha lipi si sahihi."