Subject Index 
Search
Announcements
Feedback
(35). KURUDIA ZINAA KATIKA SIKU MOJA

Imam Ali a.s. alitoa uamuzi wa kesi moja ambapo mtu alizini zaidi ya mara moja kwa siku hiyo hiyo pamoja na mwanamke mmoja, alisema kuwa adhabu itakuwa ni mara moja tu, ama iwapo mtu atazini pamoja na wanawake tofauti tofauti kwa siku moja hiyo hiyo, basi adhabu zitatolewa kwa mujibu wa idadi ya zinaa kwa siku hiyo.