Subject Index 
Search
Announcements
Feedback
(38). WAZEE WANAPOZINI

Mzee mmoja wa kiume alizini pamoja na mzee mmoja wa kike, Imam Ali a.s. aliwaadhibu kwa kuchapwa viboko mia moja kila mmoja wao na kurajimiwa.