Na waliowatesa motoni wataingia
Mishale pia vyuma vyote kuwa juuye
Akapigwa mshale na lbn Fadhili Kichwani mwake huyo Aliy Ibunil Husaini
Mikono ilikatwa yote miwili pia
Mikuki na mishale vyote kuwa juuye
Humo usoni mwake mawe alirushiwa
Maji wahitajia adui wamezuiwia
Akina mama pia maziwa hayakutoka
Na hao maluuni Fii ardhi Karbala
Kutilal-Husaina Fii ardhi Karbala Fii ardhi Karbala Kutilal-Hussaina |