Amesema Muhammad Abdul Rahmani:- "Mwanamke Nashiz (anaegoma kuingiliwa na mumewe) ni haramu kwa Ijmai, kunaondoa haki ya kupewa chakula". TAZ: Rahmatul Umma fyi Ikhtilafil aimma uk. 224. Imepokewa kutoka kwa Nakh'i na Sha'aby wamesema: "Chakula ni mukabala wa jimai (kumwingilia) atakapozuia kuingiliwa, atazuiliwa kupewa chakula". TAZ: Fiqhus Sunna J. 2 uk. 151 na 149
|