 |
KHULASA
- Mut'a ilikuwako wakati wa Mtume.
- Ndoa hiyo si upuuzi, hasha Mtume S.A.W. kuruhusu upuuzi.
- Si kosa kuwa haina shahid, Walii, chakula wala kurithi.
- Hata ndoa za daima, kwa Sunni huwa hivyo.
- Dharura iliyowekewa Mut'a mpaka leo iko, kwa hivyo lazima iendelee.
- Baadhi ya masheikh wa kisunni wanakubali kuwa dharura iko, lakini wao wanapendelea kujipuli na kuhadaa. LIPI BORA!!
|