Subject Index 
Search
Announcements
Feedback
SHUKRANI

Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Saiyadul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi.

Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S. School, AlIahabad, Uhindi, na kutolewa na Imamia Mission Lucknow, U.P., Uhindi.

Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S. School, Allahabad, Uhindi na kutolewa na Imamia Mission Lucknow, U.P., Uhindi.

Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya

Kiingereza na Bwana J. J. Shou wa Chuo Kikuu cha Dar es

Salaam, (Tanzania) na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa "Sauti ya Bilal".