Subject Index 
Search
Announcements
Feedback
MANENO MAWILI

Namshukuru Allah swt pamoja Mtume Muhammad s.a.w.w. na Maimamu a.s. kwa kunijaalia kukitayarisha kitabu hiki.

Ni matumaini yangu kuwa maudhui haya yatawafaidisha na kutuelimisha sisi sote ili tuweze kujiepusha sisi wenyewe na tusiwachochee wengine wakatumbukia katika ugonjwa huu wa kuwema uwongo.

Vitabu vingine pia vimetayarishwa katika mfululizo huu wa kuyarekebiisha na kuyatokomeza mabaya katika jamii yetu kama :

  1. Uharamisho wa Kamari,
  2. Uharamisho wa Ulevi
  3. Uharamisho wa Riba
  4. Uharamisho wa Uwongo (juzuu ya kwanza)
  5. Uharamisho wa Uwongo (juzuu ya pili)
  6. Ulawiti -Dahmbi Kuu
  7. Uharamisho wa Zinaa
  8. Usamehevu katika Islam.

Ni matumaini kuwa mawaidha na nasiha zilizomo katika vitabu hivi vitatusaidia katika kuishi maisha mema na kachana na mabaya.

Wabillahi Tawfiq,

Nduguyo katika Islam,

Amiraly M.H.Datoo
P.O.Box 838
BUKOBA
Tanzania (E.Africa)
2nd May 2001

Email : datooam@hotmail.com