Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Kiajemi na Jumuiya ya "Dar-Rahe-Haq" ya mjini Qum (Iran). Kilitafsiriwa kwa Iugha ya Kiingereza na kutiwa nyongeza fulani fulani na Haji Ahmad Hussein Sheriff na kutangaziwa na Jumuiya A Group of Muslim Brothers" S.L.P . 2245, Tehran, Iran (ambayo siku hizi huitwa "World Organization for Islamic Services (WOFIS).* * Tafsiri hiyo ya Kiingereza iliitwa "Philosophy of the Marriages of the Holy Prophet Muhammad [s]. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya Kiingereza na Bwana Jukaeli J. Shou wa Dar es SaIaam, Tanzania.
|