Biblia Neno La Mungu

    Hii ni tafsiri ya kijitabu kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu, na Ayaatullah Seeyyid Muhammed Mahdi Shirazi wa Karbala. Sura nyingi zilichapishwa kwa mfulizo katika gazeti letu la Sauti ya Bilal na zilipendeza sana. Sasa kijitabu hiki kimechapishwa ili kuwaridhisha zaidi wasomaji wetu.

    Category:

    Share this page

    Do you see a reference or spelling mistake? Click here to help us fix it