Al-Kashif-Juzuu Ya Sita

    Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London.

    Translator(s):

    Publisher(s):

    Miscellaneous information: 
    AL-KASHIF-JUZUU YA SITA Haki ya kunaikli imehifadhiwa na: AL-ITRAH FOUNDATION ISBN: 9987-9022-1-9 Kimeandikwa na: Sheikh Muhammad Jawad Mughniyya Kimetafsiriwa na: Sheikh Hasan Mwalupa Kimehaririwa na: Ustadh Abdallah Mohamed Toleo la kwanza: Februari 2004 Nakala: 5000 Kimetolewa na kuchapishwa na: Alitrah Foundation S.L.P. 19701 Dar es Salaam, Tanzania Simu: +255 22 2110640 / 2127555 Barua Pepe: alitrah@yahoo.com Tovuti: www.ibn-tv.org