Haja Ya Dini

  Katika kijitabu hiki Allamah Sayyed Saeed Akhtar Rizvi, kwanza anaeleza Dini ni nini, kisha anaelezea faida zake, anakanusha hoja za wale wasemao kuwa dini ni kitu kipingacho sayansi n.k. Analinganisha dini na "Maendeleo na Mabadiliko a viumbe", halafu anakanusha hoja za wale wasioamini kuwepo kwa siku ya Ufufuo. Mwisho kabisa anamalizia kwa kuzitaja sifa muhimu za dini.

  Translator(s):

  Category:

  Topic Tags:

  Share this page

  Do you see a reference or spelling mistake? Click here to help us fix it