Je Kufunga Mikono

  Ni Bidaa au Sunna? Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Sunna

  Kufunga mikono katika Sala: Sheria ya Kiislamu ni ya kipekee kwa kuwa inahusika na kila jambo huku ikiweka utatuzi wa matatizo yote yanayompata mwanadamu katika sekta zote za maisha yake, hivyo Mwenyezi Mungu akasema: "Leo nimewakamilishieni dini yenu na kuwatimizieni neema Yangu na nimewapendeleeni Uislamu uwe dini yenu." (5:3).

  Publisher(s):

  Category:

  Old url: 
  http://www.al-islam.org/kiswahili/pdf/KufungaMikono.pdf

  Share this page