
Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London.
- Al-Kashif-Juzuu Ya Ishirini Na Saba
- Utangulizi Wa Mchapishaji
- Aya 31 – 46: Basi Makusudio Yenu Ni Nini Enyi Mliotumwa?
- Aya 47 – 60: Kila Kitu Tumeumba Dume Na Jike
- Sura Ya Hamsini Na Mbili: At-Tur
- Aya 1 – 16: Naapa Kwa Mlima
- Aya 17 – 28: Watu Wa Peponi
- Aya 29 – 44: Hana Udhuru Mwenye Kuukana Utume Wa Muhamad
- Aya 45 – 49: Basi Waache Mpaka Wakutane Na Siku Yao
- Sura Ya Hamsini Na Tatu: An-Najm
- Aya 1 – 18: Alimwona Kwenye Mkunazi Wa Mwisho Maana
- Aya 19 – 26: Lata Na Uzza
- Aya 27 – 32: Dhana Haisaidi Kitu Mbele Ya Haifai
- Aya 33 – 41: Mtu Hatapata Ila Aliyoyafanya
- Aya 42 – 62: Kwa Mola Wako Ndio Mwisho
- Sura Hamsini Na Nne: Al-Qamar
- Aya 1 – 8: Mwezi Umepasuka
- Aya 9 – 17: Nuh
- Aya 18 – 32: Hud Na Swaleh
- Aya 33 – 42 : Lut
- Aya 43 – 55: Kila Kitu Tumekiumba Kwa Kipimo
- Sura Ya Hamsini Na Tano: Ar-Rahman
- Aya 1 – 13: Amemuumba Mtu Akamfundisha Ubainifu
- Aya 14 – 30: Kila Siku Yumo Katika Mambo
- Aya 31 – 45: Hamtapenya Ila Kwa Madaraka
- Aya 46 – 78: Hakuna Malipo Ya Hisani Ila Hisani
- Sura Ya Hamsini Na Sita: Al-Waaqia
- Aya 1 – 26: Litakapotukia Tukio
- Aya 27– 40: Wa Kuume
- Aya 41 – 56: Na Wa Kushoto
- Aya 57 – 74: Je, Mnaona Makulima Mnayoyapanda
- Aya 75 – 96: Hapana Aigusaye Ila Waliotakaswa
- Sura Ya Hamsini Na Saba: Al-Hadid
- Aya 1 – 6: Ndiye Wa Mwanzo Na Ndiye Wa Mwisho
- Aya 7 – 11: Toeni Katika Alivyowafanya Ni Waangalizi
- Aya 12 – 15: Ndani Yake Ni Rehma Na Nje Yake Ni Adhabu
- Aya 16 – 19: Je, Bado Haujafika Wakati Kwa Walioamini
- Aya 20 – 24: Maisha Ya Dunia Ni Mchezo Na Upuzi
- Aya 25 – 29: Chuma Kina Nguvu Nyingi