read

Kucheka

1225. Kucheka kwa wastani (bila kutoa sauti) ni mcheko ulio bora kuliko yote

1226. Kucheka kwa kupita kiasi kutamharibia mtu heshima yake

1227. Kucheka kwa kupita kiasi kunaiuwa bongo