Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la: "The role of Ahlul Bait (as) in Preserving the teaching of Islam" Tarjuma ya Mulla Asghaar M. M. Jaffer kutoka lugha ya Kiarabu. Sisi tumekiita: "Nafasi ya Ahlul Bayt katika kuhifadhi mafubdisho ya Kiislamu."