Dua Ya Iftar

"Ewe Mwenyezi Mungu! Mimi nimefunga kwa ajili yako, na nimefuturu kwa riziki yako, nakuamini wewe na ninakutegemea wewe tu”.

Kwa jina la Mwenyezi Mungu,

"Ewe Mwenyezi Mungu! kwa ajili yako tumefunga na kwa riziki yako tumefungua. Basi tukubalie, kwa hakika wewe ni mwenye kusikia na ni mjuzi mno”.