Qayamat Au Siku Ya Hukumu

Nguzo ya tano katika Dini ya Islam ni kuamini katika QayamaError: Reference source not found. Na imani katika nguzo hii ni faradhi kwani ni siku moja maalum iliyokwisha pangwa, na swala la lini ni siri ya Allah swt na Waja wake makhsusi. Zipo mabashiri mengi yatakayotokezea kabla ya kuja kwa QayamaError: Reference source not found. .

Mtume Mtukufu s.a.w.w ameripotiwa kusema: "Zipo dalili kumi kutokezea kabla ya kuja kwa QayamaError: Reference source not found:

1. Uasi wa SufianiError: Reference source not found.

2. Kuja kwa DajjalError: Reference source not found

3. MotoError: Reference source not found na moshi

4. Dabbatul Ardh

5. Kudhihiri kwa Imam MahdiError: Reference source not found a.s.

6. Kuchomoza kwa jua kutoka Magharibi

7. Kuja kwa Mtume Issa a.s. kutokea mbinguni

8. Kuachinika kwa ardhi katika Mashariki

9. Kuachanika kwa ardhi katika Bara la Arabia

10. Moto Error: Reference source not foundundani mwa AdenError: Reference source not found ambayo itawakusanyisha watu katika ardhi tambarare. 1

  • 1. Katika maneno ya Mtume Mtukufu s.a.w.w tumepatiwa ishara tu. Moto na moshi vinaweza kumaanisha mabomu ambayo yanapolipuka hutoa moto na moshi. Moto undani mwa Aden unaweza kusemwa kuwa moto katika matanki ya kuhifadhia mafuta ya petroli au visima vya mafuta vya Arabia. Tabaka za chini ya ardhi za Arabia yamejaa kwa mafuta.