Search results
Search results
-
Uislamu Na Maisha Ya Kisasa
...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Uislamu Na Maisha Ya Kisasa I
Suala la dini na maisha ya kisasa ni moja ya mambo ambayo hayawagusi Waislamu peke yao. Dini nyingine pia zilikumbana na tatizo hili. Watu wengi wenye kupendelea mabadiliko duniani, wameikana dini kwa sababu wanaamini kuwa dini na maisha ya sasa haviendi ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Uislamu Na Maisha Ya Kisasa II
Mwanadamu sio kiumbe pekee anayeishi maisha ya kijamii. Wanyama wengi, na hususan wadudu hupenda kuishi pamoja na kushirikiana. Wanafuata kanuni za mgawanyo wa kazi, uzalishaji na ugavi na kutoa na kupokea amri. Nyuki, na baadhi ya wadudu jamii ya mchwa w ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Uislamu Na Usasa – III
Hoja kuu ya wale ambao wanasema kuwa katika masuala ya haki za kifamilia tunapaswa kufuata mfumo wa Kimagharibi, ni kuwa muda umebadilika na mahitaji ya karne hii yanatutaka tufanye hivyo. Tunaonelea kuwa ni vizuri tuyaweke maoni yetu wazi juu ya nukta hi ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Mwanamke Katika Qur’ani
Sasa tunataka kujibu swali iwapo Uislamu unamtazama mwanamke kuwa ni sawa na mwanaume kama binadamu au unamuona ni wa hadhi ya chini kuliko mwanaume. Falsafa Maalum Ya Uislamu Juu Ya Haki Za Kifamilia. Kuhusiana na haki za mwanaume na mwanamke, Uislamu, u ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Dhana Za Asili Za Haki Ya Familia.
Tumesema kwamba mwanadamu hufaidi aina fulani ya heshima ya asili. Asili ya maumbile yake imempa haki kadhaa za msingi zisizoondosheka. Huu ndio msingi wa Azimio la haki za Binadamu kwa wote. Uislamu na falsafa za Mashariki (Asia) zinaunga mkono dhamira h ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Tofauti Kati Ya Mwanamke Na Mwanaume.
Hii inaonekana kuwa sentensi isiyofaa. Inaonekana kuwa japo tupo katika karne hii, bado kuna baadhi ya watu, hapa na pale, ambao wana mawazo ya kizamani, na bado wanang’ang’ania wazo lililopitwa na wakati la tofauti kati ya mwanaume na mwanamke. Kama watu ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Mahari Na Matunzo
...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Mahari na Matunzo I
Ni moja ya desturi za zamani za mahusiano ya kifamilia ya mwanadamu kwamba wakati wa kuoa mwanaume hulipa mahari kwa mwanamke (anayemuoa) au kwa baba yake (huyo mwanamke). Na mbali na hili, hujitolea kugharamia gharama zote za mke wake na watoto katika ki ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Mahari Na Matunzo –II
Katika sura hii tumeelezea falsafa na asili ya mahari. Tumeonyesha kuwa sheria ya maumbile imeweka mahusiano kati ya jinsia hizi mbili na imeweka majukumu tofauti ya watu wa jinsia hizi mbili katika maisha. Ilionyeshwa pia kuwa mahari ilitokana na hisia z ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Mahari Na Matunzo –III
Tumeelezea mtazamo wa Uislamu juu ya mahari na falsafa yake. Sasa hebu tuliangalie suala la matunzo. Lazima ieleweke kuwa kama ilivyo kwa mahari, matunzo pia yana muundo wake katika sheria ya Kiislamu na isichanganywe au kufananishwa na utaratibu wa wasio ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Mirathi
Zama za kale mwanamke alikuwa harithi kitu na, hata aliporithi, alitendewa kama mtoto. Alikuwa hana haiba ya kisheria inayojitegemea. Kwa mujibu wa baadhi ya mifumo ya kisheria ya kale, mtoto wa kike alipata urithi lakini watoto wake hawakupata. Kwa upand ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Talaka
...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Talaka I
Hakuna zama kama hizi za kwetu ambapo uzingativu umefanywa sana kwenye hatari ya kusambaratika kwa familia na madhara yake. Na tena, hakuna zama kama hizi za kwetu ambapo mtu amekabiliana na hatari halisi ya kusambaratika huko. Kuongezeka Kwa Talaka Katik ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Talaka II
Katika zama zetu, talaka imekuwa tatizo la dunia kwani wote wanalinung’unikia na kulilalamikia. Wale ambao sheria zao zinazuia talaka kabisa wanalalamikia kutokuwepo kwa njia ya kuepuka ndoa zisizo na mafanikio. Halikadhalika wale walioruhusu talaka, wana ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Talaka – III
Tumesema kwamba kwa mtazamo wa Uislamu, talaka ni jambo linalochukiza. Uislamu unataka ndoa iwe imara na idumu. Tuliibua swali kuwa ikiwa talaka inachukiza, kwa nini Uislamu haujaipiga marufuku? Je Uislamu haukupiga marufuku vitendo vyote vinavyochukiza k ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Talaka – IV
Ni dhahiri kutokana na majadiliano tuliyoyafanya kuwa Uislamu unachukia talaka na kuvunja maisha ya ndoa. Umechukua kila hatua ya kimaadili na kijamii ili kuiokoa ndoa kutokana na hatari ya kuvunjika, lakini haukutumia mbinu ya kulazimisha wala nguvu ya s ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Talaka V
Tumeshasema hapo awali kuwa kuna hali mbili za talaka zinazosababisha matatizo yote. Mojawapo ni kuwa kuna baadhi ya kesi za talaka ambazo zinatokana na tabia ya kutokuwa mwaminifu na kutochangamka kwa upande wa wanaume. Nyingine ni kuwa, hata kunapokuwa ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Ndoa Ya Muda (Mut’a)
...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Ndoa Ya Muda – I
Moja ya sheria tukufu za Uislamu kwa mtazamo wa sheria ya Ja’fari (Shia) ni kuwa kuna aina mbili za ndoa, ndoa ya kudumu na ndoa ya muda maalumu. Baadhi ya athari zinazotokana na aina hizi mbili za ndoa ni sawa (zinafanana) na nyingine ni tofauti. Kuna to ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41