Search results
Search results
-
Ndoa Ya Muda II
Tayari tumeshaeleza tabia ya ndoa ya muda, ulazima wa kuwepo kwake na ndoa ya kudumu kushindwa kukidhi mahitaji yote ya wanaadamu. Sasa hebu tuangalie upande wa pili wa shilingi na kuona hasara na dosari zake. Kabla ya kujadili hilo hebu tuangalie kitu ki ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Ndoa Ya Mitala (Mke Zaidi Ya Mmoja)
Ndoa ya mke mmoja ndio muundo wa asili zaidi wa ndoa. Hali ya kumiliki kitu peke yako, au uhusiano ambao wewe tu ndio unashikilia nafasi hiyo na umiliki binafsi umejikita katika aina hii ya ndoa, japo umiliki huu ni tofauti na umiliki wa mali au utajiri. ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Mitala (Mke Zaidi Ya Mmoja).
Muundo mwingine wa mitala ni mtu kuwa na mke zaidi ya mmoja. Mfumo huu umezoeleka na kuwa na mafanikio zaidi kuliko ule wa mke kuwa na waume wengi na ujima wa ngono. Sio tu kwamba umekuwepo miongoni mwa makabila ya kishenzi, bali pia umetumiwa na watu wen ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Sababu Za Kihistoria Za Mitala II
Tamaa ya mwanaume katika ngono na utawala wake wa kibabe peke yake sio sababu tosha za kuibuka kwa mitala. Lazima ziwepo sababu nyingine zilizochangia katika mwanaume muasherati kukidhi hamu yake ya kuwa na wanawake wa aina mbalimbali. Ni rahisi zaidi kuj ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Hitimisho
Hapo juu tumejadili sababu zote ambazo zinaweza kudhaniwa kuwa ndio chanzo cha mitala. Kama ambavyo tumeona, baadhi ya sababu hizi kama vile tabia ya nchi (hali ya hewa) ilivyo sio sababu halisi. Hivyo tunazipuuza. Sababu nyingine zinaweza kuwa zile zenye ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Haki Ya Mwanamke Katika Mitala
Nukta ya pili ni kuwa uwingi wa idadi ya wanawake wanaofaa kuolewa sio tu kwamba hufanya haki kwa ajili yao, bali pia na wajibu kwa ajili ya mwanaume na mwanamke aliyeolewa. Hapana shaka kwamba ndoa ni moja ya haki za asili na ni moja ya haki za msingi za ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Alitrah Foundation
1. Qur'an AlKariim Tafsir AlKashif Juzuu ya kwanza mpaka kumi na Nne 2. Uharamisho wa Riba 3. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya kwanza 4. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya pili 5. Hekaya za Bahlul 6. Muhanga wa Imamu Husein (A.S.) 7. Mikingamo iliyomzunguka ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Back Cover
Mahitaji ya zama zetu hizi yanalazimisha kutathmini maswali mengi yenye umuhimu na sio kuridhika na tathmini zake za awali. Mfumo wa haki za ndoa na majukumu ya kifamilia ni miongoni mwa masuala haya. Suala la msingi kabisa juu ya haki za kifamilia, ni iw ...
Aliwaale - 03/22/2013 - 11:41
-
Neno La Mchapishaji
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni mkusanyo wa tarjuma ya vitabu viwili vya Kiarabu. Cha kwanza ni, al-Imam al-Mahdiyyu fii Riwayati Ahli's-Sunnah, kilichoandikwa na Sayyid Abdul Rahim al-Musawi. Sisi tumekiita, Imam Mahdi katika Riwaya za Sunni. Na ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Neno La Jumuiya
Hakika mirathi ya Ahlul-Bait ambayo imehifadhiwa na kambi yao na wafuasi wao dhidi ya upotovu inaonyesha kambi iliyokusanya aina mbal- imbali za taaluma za kiislamu. Kambi hii imeweza kulea nafsi mbalimbali zilizo tayari kunywa kutoka kwenye chemchemu hiy ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Imam Mahdi Ndani Ya Riwaya Za Kisunni
Utangulizi Imani ya ulazima wa kudhihiri suluhisho la ulimwengu huu na kusi- mamisha dola yake ni imani isiyohusu watu wa dini tu, bali inayajumuisha hata makundi ya kitheolojia na kifilosofia yasiyokuwa ya kidini. Kwa mfano kundi la wapagani wajulikanao ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Kwanza: Wanavyuoni wa madhehebu ya Sunni wamekiri kuwa Imam Mahdi (a.s.) ameshazaliwa
Kuna matamko mengi ya kukiri kuwa Imam Mahdi (a.s.) ameshazaliwa ambayo Sunni wameyasajili kwa kalamu zao. Na baadhi wamefanya kazi ya kuchunguza kukiri huku katika uchambuzi hasa unaojitegemea, hivyo uchunguzi huu ulikuwa unafuatana zama kwa zama kiasi k ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Pili: Jina la Imam ni lipi, na nasaba yake ni ipi?
Mwenye kufuatilia Hadithi sahihi zilizopatikana kuhusu jina na nasaba ya Mahdi ndani ya vitabu vya Sunni atazikuta nyingi mno zikisisitiza uhalisia mmoja nao ni: Nasaba ya Mahdi inarejea kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) na kuwa yeye ni miongoni mwa ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Tatu: Sifa za Imam Mahdi
Baada ya kubainika jina la Imam Mahdi na nasaba yake, basi katika jambo hili tutazungumzia riwaya zilizopatikana ndani ya vitabu vya Sunni zina- zohusu sifa za kimaumbile za Imam (a.s), kuanzia sifa ya uso, rangi yake, nywele na mfano wa hayo. Tutabainish ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Nne: Nafasi ya Imam Mahdi (a.s.) mbele ya Mwenyezi Mungu Mtukufu
Baada ya kuwa tumejua jina la Imam Mahdi na sifa zake, basi ndani ya kifungu hiki tutazungumzia hadhi ya kiroho aliyonayo Imam Mahdi na nafasi yake mbele ya Mola ambayo humsukuma kutekeleza jukumu lake, na kuwa yeye ni khalifa wa Mwenyezi Mungu tuliyeahid ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Tano: Mahdi (a.s.) khalifa wa Mwenyezi Mungu na hitimisho la maimamu (a.s.)
Ikiwa Imam Mahdi tuliyeahidiwa ndiye Muhammad bin Hasan Al-Askari (a.s.), na nafasi yake kwa Mwenyezi Mungu ni khalifa wa haki ambaye ni lazima kumtii. Basi tunajiuliza: Je, kuna Imam mwingine atakuja baada yake? Au yeye ndiye khalifa wa mwisho kutoka Ahl ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Sita: Mahdi (a.s.) atamswalisha Nabii Isa (a.s.)
Ikiwa dalili za nukuu zilizomo ndani ya Sahih Sita na vitabu vingine zina- sisitiza ukweli wa Imam Mahdi, kuanzia utu wake, jina lake, nasaba yake hadi sifa zake nyingine, hivi je, muislamu wa zama atakazodhihiri ame- ongezewa alama nyingine zitakazoimari ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Saba: Bendera ya Mahdi (a.s.)
Na miongoni mwa alama alizoongezewa mwislamu wa zama za kudhihiri kwake (a.s.) ili ajikinge na asiweze kuingia ndani ya mikondo ya upotovu ni wasifu wa bendera ya Imam Mahdi na wito wake unaosubiriwa. Kwani bendera yake (a.s.) ina alama itakayowaongoza we ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Nane: Atoacho Imam Mahdi (a.s.)
Miongoni mwa mambo yasiyo na shaka kabisa ni kuwa uadilifu kwa maana yake yote utatimia chini ya utawala wa Mahdi (a.s.), ardhi na mbin- gu zitamwaga kheri zake na dola yake itakuwa ni dola ya mfano bora tuliyoahidiwa na Mola, dola ambayo ndani yake mwana ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Jambo La Tisa: Miujiza ya Imam Mahdi (a.s.)
Ikiwa Mahdi tuliyeahidiwa ndiye mmoja kati ya maimamu watakasifu, kwa mujibu wa imani ya Shia Imamiyya ni lazima Imam huyu atakuwa na vipaji kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kama vile elimu pana na uwezo wake wa kufanya miujiza ambayo ataitoa kwa watu ili kuhim ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58