Search results
Search results
-
Mahdi Wa Ahlul-Bait
Kimeandikwa na: Sheikh Abdul Karim al-Bahbahani Kimetarjumiwa na: Hemedi Lubumba Selemani ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Neno La Jumuiya
Hakika mirathi ya Ahlul-Bait ambayo imehifadhiwa na madhehebu yao na wafuasi wao dhidi ya upotovu inaonyesha madhehebu iliyokusanya aina mbalimbali za taaluma za kiislamu. Kambi hii imeweza kulea nafsi mbalimbali zilizo tayari kunywa kutoka kwenye chemche ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Imani ya uimamu wa maimamu kumi na wawili ni msingi wa uelewa juu ya Mahdi (a.s.)
Hakika chanzo cha wazo la kudhihiri mwokozi ambaye anawakilisha msingi wa wazo la Mahdi ndani ya Uislamu ni wazo la wanadamu wote wala si la dini fulani au madhehebu mahsusi, na ukweli huu wenyewe binafsi unasaidia kuvunja hoja nne za utata juu ya suala l ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Sura Ya Kwanza
Uthibitisho wa kiimani juu ya uwelewa wa wazo la Mahdi upande wa Ahlul-Bait (a.s.) Dalili ya kiimani juu ya wazo hili inapatikana ndani ya mamia ya riwaya zilizopatikana kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) 1 ambazo zinamwainisha Mahdi kuwa ni mi ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Sura Ya Pili
Sifa mahususi kuhusu uwelewa wa Mahdi kwa Ahlul-Bait wenyewe (a.s.). Baada ya kutimia uthibitisho wa kiimani juu ya uwelewa wa Mahdi kwa madhehebu ya Ahlul-Bait (a.s.) sasa tunaingia hatua mpya ya uchunguzi, nayo ni hatua ya uchunguzi juu ya sifa muhtasi ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Sura Ya Tatu
Umuhimu wa uwelewa wa wazo la Mahdi kiakida katika madhehebu ya Ahlul-Bait Akida yoyote sawa iwe ya kidunia ambayo chanzo chake huwa ni mwanadamu mwenyewe au iwe ya kimola ambayo chanzo chake ni Mwenyezi Mungu mtukufu ni lazima iwe na maana ya kibinadamu, ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation
1. Qur'an Al-Kariim- Tafsir Al-Kashif Juzuu ya kwanza mpaka Juzuu ya Thalathini 2. Uharamisho wa Riba 3. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya kwanza 4. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya pili 5. Hekaya za Bahlul 6. Muhanga wa Imamu Husein (A.S.) 7. Mikingamo ili ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 12:58
-
Neno La Mchapishaji
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la “Principles Of Marriage & Family Ethics” kilichoandikwa na Mwanachuoni: Ibrahim Amini. Ni ukweli ulio wazi kwamba katika jamii yetu hatujishughulishi sana na somo hili, ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:03
-
Kanuni Za Ndoa Na Maadili Ya Familia
Dibaji Jamii ya binadamu ni mkusanyiko wa familia nyingi. Uislamu unatilia maanani sana kwenye furaha halisi na ufanisi wa wanadamu kwa njia ya ulinganifu wa Kiislamu, maadili ya hali ya juu, familia zenye elimu, na zenye tabia nzuri na nyumba zenye furah ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:03
-
Utangulizi
Hamu kubwa sana ya vijana wote wanaume na wanawake ambao hufikia umri wa balekhe ni kuoa au kuolewa. Kwa kuanzisha maisha ya pamoja ya ndoa, wangepata kujitegemea zaidi na pia kupata mwenza mwema na wa kuaminika. Wanaangalia maisha ya ndoa kama mwanzo wa ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:03
-
Sehemu Ya Kwanza: Wajibu Wa Wanawake
Madhumuni ya ndoa Ndoa ni haja ya kawaida kwa kila mwanadamu. Inayo manufaa mengi na mazuri, baadhi ya hayo manufaa mengi na mazuri yaliyo muhimu ni haya: Ujengaji wa familia ambayo kwayo mtu anaweza kupata usalama na utulivu wa akili. Mtu ambaye hakuoa a ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:03
-
Sehemu ya Pili: Wajibu wa Mwanamune
Mlezi wa Familia Mwanaume na mwanamke ni nguzo mbili za msingi wa familia, lakini kwa kuwa wanaume wamepewa sifa maalum kwa amri ya uumbaji, na kwa sababu ya uwezo wao wa mantiki ni imara zaidi ya ule wa wanawake, wao huchukuliwa kama walezi wa familia za ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:03
-
Ufafanuzi Wa Hadithi
Hadithi zilizorejelewa katika kitabu hiki zimenukuliwa kutoka katika vitabu vifuatavyo: 1. Wasail al Shia. 2. Bihar al-Anwar, juz. 3. Dar Aghushe khushakhtih. 4. Mahajjat al- Bayda. 5. Mustadrak. 6. Shafi 7. Majma al Zawaid. 8. Usul al Kafi. 9. Makarim al ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:03
-
Utangulizi
Khadija, mke wa kwanza wa Muhammad Mustafa, Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) na Muumini wa kwanza, ambaye alikuwa na hisia za mtu asiye wa kawaida kabisa. Aliwajibika sana katika historia ya uchanga wa Uislamu. Alikuwa yeye pamoja na Abu Talib, mmoja ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Neno La Mchapishaji
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la"Khadija-tul-Kubra) kilichandikwa na Mwanachuoni mwanahistoria na mtafiti, Sayyed A. A. Razwy Bibi Khadija alikuwa ndiye mke wa kwanza wa Mtukufu Mtume. Bibi huyu alikuw ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Kwanza: Makkah Mnamo Karne Ya Sita
Mnamo Karne ya Sita A.D. Makka ilikuwa soko muhimu Arabuni. Mji huu ulikuwa kituo cha kimataifa cha biashara na uchuuzi. Mizigo kutoka India yenye bidhaa kama viungo, matunda, nafaka, vyombo vya ufinyanzi na nguo vilikuwa vikiteremshwa kwenye bandari za ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Pili: Maisha ya Mwanzo ya Khadija-tul-Kubra (R)
Khadija alizaliwa Makka. Alikuwa mtoto wa kike wa Khuwaylid bin Asad bin Abdul Uzza bin Qusayy. Qusayy alikuwa babu aliyejulikana sana kwenye ukoo wa Khadija vile vile kwenye ukoo wa Muhammad Mustafa, wa uzao wa Bani Hashim, aliyekuja kuwa Mtume wa Uislam ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Tatu: Muhammed Mustafa (s) Aliyetegemewa Kuwa Mtume wa Uislamu
Ingawaje nchi ya Arabu haikuwa na serikali yoyote- ya kitaifa, kijimbo au kienyeji- jiji la Makka lilikuwa linatawaliwa na kabila la Qurayishi, kama ilivyotajwa kabla. Kabila la Qurayish lilikuwa na koo kumi na mbili. Koo hizi zilishirikiana majukumu ya k ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Nne: Ndoa Ya Muhammad Mustafa (s) Na Khadija
Msafara wa kibiashara wa Muhammad kwenda Syria ulikuwa ndio chanzo cha ndoa yake na Khadija. Mtarjumi na mfasir wa Qur'an Majid, A. Yusuf Ali, anauliza swali: "Tunaweza kushangaa jinsi Yakuub alivyokutana tena na mwanawe Yusuf, au jinsi Musa ali ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Tano: Mwanzo Wa Kutangazwa Kwa Uislamu
Pamoja na ukweli kwamba nchi ya Arabuni ilikuwa dimbwi la dhuluma na ngome ya ibada za masanamu na kumshirikisha Mwenyezi Mungu, Muhammad mwenyewe hakushiriki katika uovu huo na hakutenda dhambi, na hakulisujudia hata sanamu moja. Hata kabla ya kutangaza ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05