Search results
Search results
-
Sura Ya Sita: Kutangazwa Kwa Uislamu
Kipindi kirefu cha matayarisho aliyotakiwa kuyafanya Muhammad ili aje kusimamia kazi zake na wajibu wake kama Mtume Mkubwa wa Mwisho wa Mungu hapa duniani kilikwisha. Usiku wa upagani, makosa na ujinga vimekuwa vya muda mrefu, vyenye giza nene, vyenye kut ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Saba: Wapagani Waliwatesa Waislamu
Ingawa Abu Lahab mara kwa mara alifaulu kuwasambaza watu waliokusanyika kusikiliza ujumbe wa Uislamu, taarifa hiyo ilienea Makka. Watu walizungumza habari za ujumbe wa Uislamu. Wenye mawazo mazuri miongoni mwao waliuliza: "Hii ni dini gani ambayo Muh ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Nane: Kuhama Mara Mbili Kwa Waislamu Kwenda Abyssinia (Ethiopia) (615-616)
Muhammad Mustafa, Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, alishiriki katika huzuni zote na huzuni na maumivu ya mateso ya wafuasi wake ambao walikuwa wakiteswa kwa sababu ya kuamini Tauheed (Upweke wa Mungu) lakini hakuwa na namna ya kuwalinda. Ilipoonekana kwamba vuru ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Tisa: Hamza Aukubali Uislamu- 615 A.D.
Muhammad Mustafa, Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.), ingawa alikuwa salama kutokana na ulinzi wa ami wake Abu Talib, si kwamba yeye hakufanyiwa fujo na makafiri. Kila walipopata fursa ya kumnasa, hawakumkosa. Ilitokea wakati fulani, Abu Jahl alimkuta ak ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Kumi: Umar Kusilimu Kwake Kuwa Muislamu- 616 A.D
Tukio lililokuwa kubwa mnamo mwaka wa sita baada ya Wito (Tangazo la Uislamu) ilikuwa kusilimu kwa Umar bin al-Khattab, Khalifa wa baadaye wa Waislamu. Huyu alikuwa adui mkubwa wa Uislamu, na Muhammad Mustafa, Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, na alikuwa mtesaj ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya Kumi Na Moja: Kuzingirwa Kwa Bani Hashim- A.D. 616- 619
Mwaka wa sita baada ya kutangazwa kwa Uislamu ulikuwa unaelekea kwisha. Wapagani wa Makka walikwisha tumia miaka mitatu kufanya kampeni dhidi ya Uislamu. Walifaulu kusababisha machungu mengi na uadui dhidi ya Waislamu lakini hawakuwa na lolote la kuonyesh ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 12: Kifo Cha Khadija-Tul Kubra Na Abu Talib- A.D. 619.
Mashujaa watano wa Makka waliukanyaga mkataba wa Maquraysh wa kuwasusia Banu Hashim. Shukurani kwa uungwana na ushujaa wao, Bani Hashim wameweza kurudi mjini, na kuishi kwenye nyumba zao kwa mara nyingine tena. Lakini, kabla hata hawajatulia na kuanza kus ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 13: Khadija- Mama Wa Waumini
Kabla ya Uislamu, Khadija alikuwa Malkia wa Makka. Wakati jua la Uislamu lilipochomoza juu ya upeo wa macho, Mwenyezi Mungu alifurahi kumfanya pia Malikia wa Uislamu. Mwenyezi Mungu pia alifurahishwa kumfanya yeye Mama wa Waumini, kama Asemavyo kwenye K ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 14: Khadija, Mwanamke Mkamilifu
Kumekuwepo na wanawake wengi katika historia ya ulimwengu huu ambao walipata kuwa wakubwa na maarufu kwa sababu ya matendo yao makubwa. Jamii ya kibinaadamu inaweza kujivunia kwa haki kabisa kutokana na (wanawake) hawa. Lakini katika historia ya ulimwengu ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 15: Ukarimu Wa Khadija
Khadija Bint wa Arabuni, na Muhammad Mustafa, walioana mwaka wa A.D. 595. Miaka kumi na tano baadaye, Muhammad aliteuliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mjumbe Wake. Kama Mjumbe wa Mungu, kazi yake ilikuwa kutangaza Uislamu hapa duniani. Kuanzia hapo, kila kitu k ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 16: Khadija Na Muhammad Mustafa
Katika kipindi cha miaka kumi na tano ya mwanzo wa ndoa yake, kazi za Khadija zilikuwa zile hasa za mke na mama wa nyumbani. Mwaka wa A.D. 610 Mwenyezi Mungu (S.w.) alimteua Muhammad kuwa Mjumbe Wake, na tangu hapo kazi za Khadija ziliongezeka. Zaidi ya k ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 17: Khadija Na Wake Wenza Wa Mtume (S.A.W.W)
Jambo la kushangaza ni kwamba wanawake wote wa nyumba ya Muhammad Mustafa, Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, walikuwa na udhaifu kama ilivyo kwa wanawake wengine. Wake zake wengine walisumbuliwa na wivu, na hawakuwa na haya kabisa kuuonyesha (huo wivu). Tukio ku ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 18: Khadija Na Aisha
Hadhrat Aisha hakuwaonea wivu wake wenzake aliokuwa anaishi nao tu nyumbani kwa Muhammad Mustafa, bali pia mke mwenzake ambaye alikwisha fariki muda mrefu- yaani Khadija. Hakika alikuwa anamuonea wivu zaidi Khadija, kuliko mke mwenzake yeyote aliye hai. ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 19: Khadija Na Uislamu
Leo hii Uislamu ni jeshi lenye nguvu kubwa kabisa duniani. Maadui wake hawawezi kufanya lolote. Uislamu ni kama gogo la mti mkubwa, ambalo dhoruba za duniani zimeshindwa kuling'oa. Hata hivyo, kuna wakati ambapo gogo hili kubwa sana lilikuwa mti mcha ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Sura Ya 20: Khadija Na Wana Historia Wa Kiislamu
Kwenye vitabu vyao vya historia, sifa ya juu sana ambayo wanahistoria wa Kiislamu wamempa Khadija, ni kwamba aliuimarisha Uislamu kwa utajiri wake. Wanampa sifa hii halafu wana endelea na mambo mengine. Ni kweli kwamba ni utajiri wa Khadija ulioufanya Uis ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Back cover Khadija-tul-Kubra
Khadija alikuwa mke wa kwanza wa Mtume Mkubwa wa mwisho wa Mungu kwa wanadamu wote- Muhammad Mustafa (saww). Wakati Mtukufu Mtume alipoanzisha harakati itwayo Uislamu, alijipatia sifa ya kuwa Mu'umin na Mwislamu wa kwanza. Maisha ya Khadija yamejaa u ...
Aliwaale - 03/23/2013 - 13:05
-
Kujitolea
Safina ya msafara wa mwisho wa mwanadamu inakaribia mwisho wake katika dimbwi la hatari ya imani potofu ya kuamini dunia hii tu bila ya kujali Aakhera. Uroho huu umeongezeka katika udanganyifu wetu wa kisayansi kiasi kwamba mwanadamu anataka kuiendesha sa ...
Aliwaale - 04/10/2013 - 20:15
-
Utangulizi
Qayamat-i- Sughra ni kitabu ambacho kinazungumzia mambo mengi hasa kuhusiana na ubashiri wa kuja kwa Imam Mahdi Error: Reference source not found a.s., jambo ambalo linakubaliwa na Waislamu wa Madhehebu zote kwa pamoja kuanzia mwanzoni hadi siku hii ya le ...
Aliwaale - 04/10/2013 - 20:15
-
Maneno Machache
Kwa jina la Allah swt. Watu walio hodari humu duniani wanakubali kuwa akili/busara ni mwongozo na mtoa ushauri wa mwanadamu. Huwa inamwongoza kuelekea mema na kumzuia na mabaya. Ni busara hiyo ambayo ndiyo inayomtofautisha mtu na mnyama na kumfanya awe ki ...
Aliwaale - 04/10/2013 - 20:15
-
Qayamat Au Siku Ya Hukumu
Nguzo ya tano katika Dini ya Islam ni kuamini katika Qayama Error: Reference source not found. Na imani katika nguzo hii ni faradhi kwani ni siku moja maalum iliyokwisha pangwa, na swala la lini ni siri ya Allah swt na Waja wake makhsusi. Zipo mabashiri m ...
Aliwaale - 04/10/2013 - 20:15