
Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London.
- Al-Kashif-Juzuu Ya Kumi Na Moja
- Utangulizi Wa Mchapishaji
- Aya 94 – 96: Watawatolea Udhuru
- Aya 97 – 99: Mabedui Wamezidi Sana
- Aya 100 – 102: Waliotangulia Wa Kwanza
- Aya 103 – 106: Chukua Sadaka Katika Mali Zao
- Aya 107 –110: Msikiti Wa Madhara
- Aya 111 – 112: Mungu Huuza Na Kununua
- Aya 113 – 114: Abu Twalib Na Kuwatakia Msamaha Washirikina
- Aya 115 –116: Mwenyezi Mungu Hawapotezi Watu
- Aya 117 – 119: Mwenyezi Mungu Amemkubalia Toba Mtume
- Aya 120 – 121: Haifai Watu Wa Madina Kubaki Nyuma
- Aya 122 – 123: Kwa Nini Kisitoke Kikundi
- Aya 124 – 127: Inapoteremshwa Sura
- Aya 128 – 129: Kwa Waumini Ni Mpole
- Sura Ya Kumi: Yunus
- Aya 1 – 2: Hizo Ni Aya Za Kitab Chenye Hekima
- Aya 3 – 4: Kuumba Katika Siku Sita
- Aya 5 – 10: Idadi Ya Miaka Na Hisabu
- Aya 11 – 14: Lau Mweneyezi Mungu Angeliwaharakishia Shari
- Aya 15 – 17: Lete Qur’an Isiyokuwa Hii
- Aya 18-20: Wanasema Hawa Ni Waombezi Wetu
- Aya 21-23: Sema: Mwenyezi Mungu Ni Mwepesi Zaidi Wa Kupanga Njama
- Aya 24-25: Mfano Wa Maisha Ya Dunia
- Aya 26 – 30: Kwa Wafanyao Wema
- Aya 31 – 34: Ni Nani Anayewaruzuku?
- Aya 35 – 39: Mwenye Kuongoza Kwenye Haki
- Aya 40 – 44: Miongoni Mwao Wapo Wanaoamini
- Aya 45 – 47: Siku Atakayowakusanya
- Aya 48 – 56: Ni Lini Ahad Hii?
- Aya 57 – 60: Yamewajia Mawaidha
- Aya 61 – 64: Huwi Katika Jambo Lolote
- Aya 65 – 70: Enzi Yote Ni Ya Mwenyezi Mungu
- Aya 71 – 73: Habari Za Nuh
- Aya 74 – 82: Kisha Tukawapelekea Mitume Baada Yake
- Aya 83 – 89: Hawakumuamini Musa
- Aya 90 – 93: Na Tukavusha Bahari Waisrael
- Aya 94 –97: Ikiwa Una Shaka
- Aya 98-100: Kaumu Ya Yunus
- Aya 101 – 106: Ishara Na Maonyo Hayatoshi
- Aya 107 – 109: Kama Mwenyezi Mungu Akikugusisha Dhara
- Sura Ya Kumi na Moja: Hud
- Aya 1 – 4: Kitabu Na Aya Zake
- Aya 5: Wanakunja Vifua Vyao