read

Aya 115 –116: Mwenyezi Mungu Hawapotezi Watu

Maana

Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwapoteza watu baada ya kuwaongoza.

Makusudio ya kuwapoteza ni kuwahisabu na kuwachukulia kuwa wamepotea. Na makusudio ya watu ni waumini tu; kwa dalili ya kauli yake, ‘baada ya kuwaongoza.’

Maana ni kuwa waumini wakifanya kitu chochote wasichokijua kuwa ni halali au haramu; kama vile kuwaombea msamaha au kuwarehemu washirikina kwa kutojua uharamu, basi Mwenyezi Mungu (s.w.t.) hatawaadhibu, mpaka awabainishie ya kujiepusha nayo kwa ubainifu ulio wazi wa kiasi. Baada ya ubainifu, wakifanya uasi,hapo watastahiki adhabu.

Tafsiri bora ya Aya hii ni kauli ya Mtume mtukufu (s.a.w.): “Mtu yoyote aliyefanya jambo kwa kutojua hana neno.” Na kauli ya Imam Ja’far Asswadiq (a.s.): “Kila kitu ni halali mpaka kikatazwe.”

Hakika Mwenyezi Mungu ni wake ufalme wa mbingu na ardhi, huhuisha na hufisha, nanyi hamna mlinzi wala msaidizi isipokuwa Mwenyezi Mungu.

Aya ikowazi na mfano wake umekwishapita mara nyingi na utaendelea kuja. Lengo ni kuwa binadamu daima awe pamoja na Mungu na kuukumbuka ukuu wake; na kwamba yeye peke yake ndiye bwana wake, ili asiweze kupetuka mpaka wowote katika mipaka yake.

لَقَدْ تَابَ اللَّهُ عَلَى النَّبِيِّ وَالْمُهَاجِرِينَ وَالْأَنْصَارِ الَّذِينَ اتَّبَعُوهُ فِي سَاعَةِ الْعُسْرَةِ مِنْ بَعْدِ مَا كَادَ يَزِيغُ قُلُوبُ فَرِيقٍ مِنْهُمْ ثُمَّ تَابَ عَلَيْهِمْ ۚ إِنَّهُ بِهِمْ رَءُوفٌ رَحِيمٌ {117}


Hakik


a


Mwenyez


i


Mungu amekwish


a


poke


a


tob


a


ya Mtum


e


n


a


wahajir


i


na


Answarwaliomfuata saa ya


dhiki


.


Baad


a


y


a


nyoy


o


za baadh


i


ya


o


kukurubia kugeuka


.


Kisha


akawakubalia toba. Hakika yeye kwao ni Mpole Mwenye ku


r


ehemu.

وَعَلَى الثَّلَاثَةِ الَّذِينَ خُلِّفُوا حَتَّىٰ إِذَا ضَاقَتْ عَلَيْهِمُ الْأَرْضُ بِمَا رَحُبَتْ وَضَاقَتْ عَلَيْهِمْ أَنْفُسُهُمْ وَظَنُّوا أَنْ لَا مَلْجَأَ مِنَ اللَّهِ إِلَّا إِلَيْهِ ثُمَّ تَابَ عَلَيْهِمْ لِيَتُوبُوا ۚ إِنَّ اللَّهَ هُوَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ {118}


N


api


a


wal


e


watatu


walioachwa nyuma, mpaka ardhi ikawa finyu juu yao pamoja na wasaa wake; na


nafs


i


za


o


zikadhikik


a


juu


yao,nawakayakinishakuwa


hakun


a


kw


a


kumkimbia


MwenyeziMunguisipokuwa kwake. Kisha akawakubalia


tob


a


il


i


wapat


e


kutubu. Hakik


a


Mwenyez


i


Mungu


ndiye Mwingi wa kukubali tobaMwenyeku


r


ehemu.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَكُونُوا مَعَ الصَّادِقِينَ {119}


Eny


i


mlioamini


!


Mcheni


Mwenyezi Mungu na kuweni pamojanawakweli.