read

Aya 45 – 47: Siku Atakayowakusanya

Maana

Na siku atakapowakusanya itakuwa kama kwamba wao hawakukaa isipokuwa saa moja tu ya mchana.
Kusema saa moja tu ya mchana ni fumbo la kuwa maisha ya dunia hata yakiwa marefu kiasi gani bado ni mafupi tu, kwa sababu yanaisha.

Maneno ya watu kuhusu kuikashifu dunia kimashairi na kinathari yamejaza kurasa za vitabu. Lakini jambo la kushangaza ni kuwa wanachanganya kuikashifu na kuisifu. Bali watu lau watarudishwa duniani baada ya kufa, wangelirudia yale yale waliyokatazwa. Hii inafahamisha kwamba watu hawatambuliki kwa maneno.

Watatambuana.

Dhahiri ya tamko inajulisha kuwa wenye makosa watatambuana siku ya mkusanyiko; vile vile watu wema. Unaweza kuuliza: Hii haipingani na kauli yake Mwenyezi Mungu Mtukufu:

يَوْمَ تَرَوْنَهَا تَذْهَلُ كُلُّ مُرْضِعَةٍ عَمَّا أَرْضَعَتْ وَتَضَعُ {2}


“Siku mtakapoiona kila mwenye kunyonyesha atamsahau amnyonyeshaye.”(22:2)

Jibu: Kuna tofauti kati ya ufufuo na kukusanywa na vile vile siku ya Kiyama ambayo ni siku ya kuharibiwa ulimwengu. Na Aya ya (22:2) inazungumzia siku ya Kiyama. Na kauli yake Mwenyezi Mungu: “Watatambuana” inazungumzia siku ya kukusanywa. Zaidi ya hayo ni kwamba vituo vya mkusanyiko vitakuwa vingi. Watu wataweza kutambua na hasa siku ya hisabu na vingine hawatatambuana; kama vile wakipelekwa motoni.

Hakika wamehasirika waliokanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, wala hawakuwa wenye kuongoka.

Kila mwenye kufanya kwa ajili ya jambo ambalo haliko, au akapuuza na asifanye kwa ajili ya jambo liliopo ambalo linaambatana naye na mwelekeo wake, basi atakuwa ni katika wenye kupotea wenye kuhasirika. Na hivyo ndivyo ilivyo kwa yule anayefanya amali kwa ajili ya dunia bila ya akhera, ni sawa awe mkweli au mwogo.

Na vyovyote vile, tukikuonyesha baadhi ya tunayowaahidi au tukakukufisha, basi marejeo yao ni kwetu.

Maneno yanaelekezwa kwa Mtume (s.a.w.w.). Maana nikuwa Mwenyezi Mungu anawashtua na kuwaahidi wale wanaowakadhibisha kuhusu hizaya hiyo kuwa hapana budi itawapata tu, iwe ni katika uhai wa Mtume au baada ya kufa kwake. Kwa vyovyote vile, marejeo yao ni kwa Mwenyezi Mungu na atawaadhibu adhabu kubwa.

Kisha Mwenyezi Mungu ni shahidi wa wanayoyafanya.

Yaani anayajua yote wayafanyao, hakifichiki kitu chochote kwake; na kisha atawalipa yale wanayostahiki.

Na kila Umma una Mtume anayewapa bishara na kuwaonya. Na baada ya maonyo itakuwa hisabu na adhabu. Kwani hakuna adhabu bila ya onyo.

Basi anapokuja Mtume wao na akawaeleza yale yaliyowajibu kuyajua katika dini; na kusibakie udhuru wa mwenye kutafatu udhuru, inahukumiwa baina yao kwa uadilifu. Yule aliyetikia mwito wa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, atahukumiwa kufuzu na kupata Pepo. Na yule anayeukataa atahukumiwa adhabu

Nao hawatadhulumiwa.

Hakuna upungufu wa thawabu za mtiifu, bali huenda akazidishiwa. Wala hakuna kuzidishiwa aliyeasi, bali huenda ikamfikia rehema.

Hayo ndiyo maana ya kauli yake Mwenyezi Mungu ‘kwa Uadilifu.’ Ni desturi ya Qur’ani kusisitiza kila linaloambatana na akhera na malipo yake ya thawabu na adhabu.

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِنْ كُنْتُمْ صَادِقِينَ {48}


Nawanasema:Niliniahadi hii,ikiwamnasemakweli?

قُلْ لَا أَمْلِكُ لِنَفْسِي ضَرًّا وَلَا نَفْعًا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ لِكُلِّ أُمَّةٍ أَجَلٌ ۚ إِذَا جَاءَ أَجَلُهُمْ فَلَا يَسْتَأْخِرُونَ سَاعَةً ۖ وَلَا يَسْتَقْدِمُونَ {49}


Sema:Similikii nafsiyangu dhara wala nafuu, isipokuwa apendavyoMwenyeziMungu.


Kil


a


umm


a


un


a


muda. Unapofiki


a


mud


a


wao hawakawi


i


sa


a


moj


a


wala


hawatangulii.

قُلْ أَرَأَيْتُمْ إِنْ أَتَاكُمْ عَذَابُهُ بَيَاتًا أَوْ نَهَارًا مَاذَا يَسْتَعْجِلُ مِنْهُ الْمُجْرِمُونَ {50}


Sema: Mwaonaje ikiwafikia


adhab


u


yak


e


usik


u


au mchana


.


Sehem


u


gan


i


ya


adhab


u


wanaihimiz


a


wenye


makosa?

أَثُمَّ إِذَا مَا وَقَعَ آمَنْتُمْ بِهِ ۚ آلْآنَ وَقَدْ كُنْتُمْ بِهِ تَسْتَعْجِلُونَ {51}


T


ena


,


Je


,


ikishatokea


Mtaiamini?Sasatena?Nahali mlikuwamkiihimiza?

ثُمَّ قِيلَ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا ذُوقُوا عَذَابَ الْخُلْدِ هَلْ تُجْزَوْنَ إِلَّا بِمَا كُنْتُمْ تَكْسِبُونَ {52}Kisha waliodhulumu watambiwa: onjeni adhabu ya kudu


mu


.


Kwan


i


hamtalipwa isipokuw


a


yal


e


mliyokuwa


mkiyachuma?

وَيَسْتَنْبِئُونَكَ أَحَقٌّ هُوَ ۖ قُلْ إِي وَرَبِّي إِنَّهُ لَحَقٌّ ۖ وَمَا أَنْتُمْ بِمُعْجِزِينَ {53}


Nawanakuuliza:Je,nikweli hayo?Sema:Ehe!Naapakwa


Mol


a


wang


u


hiy


o


n


i


kweli


nanyihamuwezikushinda.

وَلَوْ أَنَّ لِكُلِّ نَفْسٍ ظَلَمَتْ مَا فِي الْأَرْضِ لَافْتَدَتْ بِهِ ۗ وَأَسَرُّوا النَّدَامَةَ لَمَّا رَأَوُا الْعَذَابَ ۖ وَقُضِيَ بَيْنَهُمْ بِالْقِسْطِ ۚ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ {54}


Nalaukamakilanafsiiliyod


hulum


u


inamilik


i


kil


a


kili


chom


o


ardhini


,


ingelitoa vyot


e


kujikombolea


.


Na


watakapoiona adhabu wataficha majuto Na patahukumiwa baina yao kwa uadilifu;naohawatadhulumiwa.

أَلَا إِنَّ لِلَّهِ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۗ أَلَا إِنَّ وَعْدَ اللَّهِ حَقٌّ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَهُمْ لَا يَعْلَمُونَ {55}


Juen


ikuw


a


hakik


a


vyote


vilivyomo katika mbingu na


ardh


i


n


i


vy


a


Mwenyezi


Mungu. Juenikuwahakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni haki Lakini wengi wao hawajui.

هُوَ يُحْيِي وَيُمِيتُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ {56}


Y


ey


e


ndiy


e


anayefufu


a


na


anayefishanakwakemtarudishwa.