read

Aya 171: Mfano Wa Anayeita Asiyesikia.

Maana

Mwenyezi Mungu katika Aya hii anawapigia mfano makafiri ambao wameng’ang’ania dini ya mababa, akawafananisha na wanyama na akamfananisha na mchungaji, yule anayewalingania kwenye haki. Kama ambavyo wanyama hawafahamu chochote katika maneno ya mchungaji isipokuwa sauti wanayoizowea baada ya kuzoweshwa; vile vile makafiri hawafahamu haki wala manufaa ambayo wanalinganiwa.

Kwa hakika wao ni kama viziwi japo wanasikia; ni kama mabubu japo wanasema, na ni kama vipofu japo wanaona.

Aya nyingi za Qur’an hazimtofautishi kiziwi asiyeweza kusikia kabisa na yule anayeisikia haki wala asiitumie; kama vile Aya hii tuliyo nayo:

Na kauli yake Mwenyezi Mungu: Wanaokubali ni wale wanaosikia ...”(6:36). Na kauli yake Mwenyezi Mungu: Wala msiwe kama wale wanaosema: Tumesikia, na kumbe hawasikii.” (8:21)

Unaweza kuuliza kuwa dhahiri ya Aya inafahamisha kuwa Mwenyezi Mungu (s.w.t) amewafananisha Makafiri na Mchungaji wanyama sio wanyama; kwa vile amesema: Na mfano wa wale waliokufuru nikama mfano wa yule anayemwita asiyesikia. Inavyoelekea nikuwa anayeita ni mchungaji na asiyesikia ni mnyama, sasa imekuwaje?

Jibu: Hapa kuna kukadiriwa maneno ambako ni hakika mfano wa wanaowalingania makafiri kwenye haki ni kama mfano wa anayemwita asiyesikia. Hili limefahamika kutokana na mfumo wa maneno ulivyo.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا كُلُوا مِنْ طَيِّبَاتِ مَا رَزَقْنَاكُمْ وَاشْكُرُوا لِلَّهِ إِنْ كُنْتُمْ إِيَّاهُ تَعْبُدُونَ {172}


Eny


imlioamini


!Kulen


ivizuri


tulivyowaruzuku na mumshukuru Mwenyezi


Mung


u


ikiw


a


mnamwabudu


Y


ey


etu.

إِنَّمَا حَرَّمَ عَلَيْكُمُ الْمَيْتَةَ وَالدَّمَ وَلَحْمَ الْخِنْزِيرِ وَمَا أُهِلَّ بِهِ لِغَيْرِ اللَّهِ ۖ فَمَنِ اضْطُرَّ غَيْرَ بَاغٍ وَلَا عَادٍ فَلَا إِثْمَ عَلَيْهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ {173}


Hakikaamewaharamishia


mzog


a


t


u


n


a


dam


u


n


a


nyama y


a


nguruw


e


n


a


kilichosomewa


kwa jina la asiyekuwa


Mwenyez


i


Mungu


.Bas


i


aliyefikw


a


n


a


dharur


a


bil


a


kutaman


i


wal


a


kupit


a


kiasi


,


yeye


hana dhambi. Hakika


Mwenyez


i


Mung


u


n


i


Mwenye maghufira


,


Mweny


e


ku


r


ehemu.