
Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London.
- Al-Kashif-Juzuu Ya Sita
- Utangulizi Wa Mchapishaji
- Aya 148 – 149: Dhalimu Haheshimiwi
- Aya 150 – 152: Wanaamini Baadhi Na Kukanusha Baadhi
- Aya 153-154: Walisema Tuonyeshe Mwenyezi Mungu Waziwazi
- Aya 155-159: Kuvunja Kwao Ahadi
- Aya 160 – 162: Dhulma Ya Mayahudi
- Aya 163 – 166: Tumekuletea Wahyi
- Aya 167 – 170: Walikufuru Na Kuzuilia
- Aya 171-173: Msipetuke Mipaka Katika Dini Yenu
- Aya Ya 174 – 175: Imewafikia Hoja Kutoka Kwa Mola Wenu
- Aya 176: Mwenyezi Mungu Anawapa Fatwa Juu Ya Mkiwa
- Sura Ya Tano: Al - Maidah
- Aya 1-2: Tekelezeni Mapatano
- Mmeharamishiwa Mfu Aya Ya 3
- Aya 4: Na Mlichowafunza Wanyama Wa Mawindo
- Aya Ya 5: Utwahara Wa Watu Wa Kitabu
- Aya 6 – 7: Udhu Na Tayammam
- Aya 8 – 10: Uadilifu Ndio Unaokurubisha Kwenye Takua
- Aya 11: Kumbukeni Neema Ya Mwenyezi Mungu
- Aya 12 – 14: Kufanya Agano Na Waisrail
- Aya 15 – 16: Imekwishawafikia Nuru
- Aya 17 – 19: Walisema Mwenyezi Mungu Ni Masih
- Aya 20 – 26: Musa Na Watu Wake
- Aya 27 – 31: Qabil Na Habil
- Aya 32: Mmoja Na Wengi
- Aya 33 – 34: Malipo Ya Ufisadi
- Aya 35-37: Tafuteni Njia Ya Kumfikia
- Aya 38 – 40: Mwizi Mwanamume Na Mwanamke
- Aya 41 – 43: Wasikilizao Sana Uwongo.
- Aya 44: Usiwaogope Watu
- Aya 45 – 47: Mtu Kwa Mtu
- Aya 48 – 50: Kila Umma Na Sharia Yake
- Aya 51 – 53: Mayahudi Na Wakristo Msiwafanye Kuwa Marafiki
- Aya 54: Wanyenyekevu Kwa Waumini Wenye Nguvu Kwa Makafiri
- Aya 55-56: Hutoa Zaka Wakiwa Wamerukui
- Aya 57 – 59: Dini Yenu Wameifanyia Mzaha Na Mchezo
- Aya 60 – 63: Akawafanya Wengine Manyani Na Nguruwe
- Aya 64-66: Mayahudi Walisema Mkono Wa Mwenyezi Mungu Ume Fumba
- Aya 67: Fikisha Uliyoteremshiwa
- Aya 68 – 69: Kusimamisha Taurat Na Injil
- Aya 70-71: Agano La Wana Wa Israil
- Aya 72 – 75: Mwito Wa Masih Kwa Wana Wa Israil
- Aya 76 – 81: Hawawezi Kuwadhuru Wala Kuwanufaisha