Amani na Jihadi Katika Uislam

Publisher(s): 

Kijitabu kilichoko mikonono mwako ni tarjuma ya Kiswahili kutoka Kiingereza. 'Amani na Jihadi' ni mada ambayo imetumiwa nje ya muktadha wa Kiislamu dhidi ya Uislamu na vyombo vya habari visivyo amini (Uislamu) vya mlengo wa kulia, wanasiasa na pia wanahistoria.

Category: