Biblia Neno La Mungu

Hii ni tafsiri ya kijitabu kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu, na Ayaatullah Seeyyid Muhammed Mahdi Shirazi wa Karbala. Tafsiri yenyewe ilifanywa na Seyyid Muhammed Mahdi Shushtari wa Unguja. Sura nyingi zilichapishwa kwa mfulizo katika gazeti letu la Sauti ya Bilal na zilipendeza sana. Sasa kijitabu hiki kimechapishwa ili kuwaridhisha zaidi wasomaji wetu.

Topic Tags: 
Bible
History
Prophets