Dhambi Kuu La Kutokulipa Zaka, Khums Na Sadaqah

Sadaqah inalipia madeni na kuongezea neema kwetu, Sadaqah inatuepusha na mauti katika hali mabya. Siku ya Qiyama kutakuwa na jua na joto kali mno, lakini Mumin atakuwa katika kivuli, nacho ni sadaqah aliyokuwa akiitoa. Toeni sadaqah asubuhi na mapema, ili balaa na matatizo yasiwafikieni katika siku nzima.

Translator(s): 
Topic Tags: