Du’a hii ni mmoja inayo somewa kila siku katika mwezi mtukufu.
Maelezo ya du’a hii yaliyomo katika kitabu hiki inasisimua nyoyo za waumini.
Kila mwenye imani anashauriwa aisome kwa makini ili kupata uelewa wa kiroho.
Hadithi mmoja ya Mtume (s) pia inaeleza kuwa mtu ambaye anasoma kwa kuelewa na kutenda yaliyo elezwa, anastahiki msamaha ya Allah swt.