Mijadala & Majadiliano

Mikesha Ya Peshwaar

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Peshawar Nights. Asili ya kitabu hiki ni cha lugha ya Kifarsi kwa jina la, Shab’ha-ye Peshawar.

Je Kufunga Mikono

Kufunga mikono katika Sala: Sheria ya Kiislamu ni ya kipekee kwa kuwa inahusika na kila jambo huku ikiweka utatuzi wa matatizo yote yanayompata mwanadamu katika sekta zote za maisha yake, hivyo Mw

Kwa nini Shi’ah?

Makala hii inaeleza kwa mapana maana ya neno Shi'ah na namna lilivyotumika katika Qur’an na katika Hadithi za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.).

1,574 0

Maulidi, si bida, si haramu

Mwandishi wa kitabu hiki ametoa hoja kuhusu upingamizi uliotolewa kuhusu ufanywaji wa Maulidi au kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume wetu Muhammad s.a.w.w.

1,445 0

Tadwin Al Hadith

Hadithi ni chanzo cha pili muhimu cha Sheria na Hukmu katika uislam.

Mwenge Wa Haki

Makala hii ni mazungumzo na majadiliano kati ya mtawala (wa ukoo wa Abbassid) Ma'mun al-Rashid na wanachuoni mashuhuri katika zama hizo juu ya "ubora wa Seyyidna Ali bin Abi Talib (a.s) ikilingani