Kuanzisha/Kutambulisha Uislamu

Mikesha Ya Peshwaar

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Peshawar Nights. Asili ya kitabu hiki ni cha lugha ya Kifarsi kwa jina la, Shab’ha-ye Peshawar.

Haja Ya Dini

Katika kijitabu hiki Allamah Sayyed Saeed Akhtar Rizvi, kwanza anaeleza Dini ni nini, kisha anaelezea faida zake, anakanusha hoja za wale wasemao kuwa dini ni kitu kipingacho sayansi n.k.

Maadili Ya Islam


Hii ni makala ya maadili ya Uislamu

Maadili Ya Islam 

Msingi

Hii Kitabu itasaidia kuzungumza maada ya Dini katika hali tofauti tofauti za maisha.

Dini maana yake mfumo makhususi wa imani na ibada. Dini katika sura tofauti za maisha yetu.

672 0