Desturi za Waislamu

Haja Ya Dini

Katika kijitabu hiki Allamah Sayyed Saeed Akhtar Rizvi, kwanza anaeleza Dini ni nini, kisha anaelezea faida zake, anakanusha hoja za wale wasemao kuwa dini ni kitu kipingacho sayansi n.k.

Kwa Nini Mashia Husali Kwa Kuunganisha Sala Kwa Pamoja Dhohr-Asr Na-Maghrib-Isha

Kwa Nini Mashia Husali Kwa Kuunganisha Sala Kwa Pamoja Dhohr – Asr Na Maghrib – Isha

Amiraly M.H. Datoo [totalcount] 0

Kutoa Au Kuomba Sadaka

Kitabu hiki cha ‘Kutoa na Kuomba Sadaka’ inaelezea faida ya kutoa Sadaka kwa kina na maelezo yote ni sahihi kwa sababu ni ahadith za Mtume (s) na Maimamu a.s.

Sheikh Hurr ‘Aamili [totalcount] 0

Kwa Nini Mtume Muhammad (s) Alioa Wake Wengi

Kitabu hiki kidogo kiitwacho ‘Kwa Nini Mtume Muhammad (s) Alioa Wake Wengi’

[totalcount] 0

Du’a Ya Mwezi Wa Ramadhani (Vidhihirisho vya Mwenyezi Mungu)

Du’a hii ni mmoja inayo somewa kila siku katika mwezi mtukufu.
Maelezo ya du’a hii yaliyomo katika kitabu hiki inasisimua nyoyo za waumini.

[totalcount] 0

Umuhimu wa Hijab

Kujifunika kwa mwanamke wa Kiislamu ni jambo la muhimu sana lakini jamii kwa ujumla hu-uliza maswali mengi kuhusu kwa nini mwanamke wa Kiislamu huvaa hijaab.