Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Peshawar Nights. Asili ya kitabu hiki ni cha lugha ya Kifarsi kwa jina la, Shab’ha-ye Peshawar.
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Peshawar Nights. Asili ya kitabu hiki ni cha lugha ya Kifarsi kwa jina la, Shab’ha-ye Peshawar.
Kijitabu kilichoko mikonono mwako ni tarjuma ya Kiswahili kutoka Kiingereza.
Makala hii awali imetolea dalili ya Utukufu wa wajukuu wa Mtume Muhammad s.a.w.w, khususan Imamu Husayn a.s.
Misingi ya Imani ya mashia imeelezwa katika vitabu vya pande zote yaani katika vitabu viaminiwavyo na Masunni na pia vya Kishia.
Mwandishi wa kitabu hiki ametoa hoja kuhusu upingamizi uliotolewa kuhusu ufanywaji wa Maulidi au kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume wetu Muhammad s.a.w.w.
Hii Kitabu imechanganya maudhui nyingi tofauti kwa muhtasari. Imeelezea na kufufunua yaliofichikana au kuhafimika kimakosa katiak tarikh na kujibu na ayah tofauti za Msahafu na Hadithi.