Msingi

Hii Kitabu itasaidia kuzungumza maada ya Dini katika hali tofauti tofauti za maisha.

Dini maana yake mfumo makhususi wa imani na ibada. Dini katika sura tofauti za maisha yetu.

Dini sii pekee tu kwenye msikiti lakini Dini ni nguzo wa maisha wetu katika kila pengo.

Dini ni njia au ni silaha kuiisha na furaha katika maisha hii.

Swahili
Category: