read

Kwa Jina La Allah Mwenye Rehema Na Mwenye Kurehemu

Sifa zote njema ni zake Yeye ambaye ameumba bila ya Yeye mwenyewe kuumbwa.
Nilfikiriya mwenyewe kuwa ni mwenye bahati sana kwa kupewa fursa hii ya kuchapisha na kupanga tena upya kitabu hiki.

Ningependa kuhakikisha pande zote kwamba hakuna kishawishi chochote cha pesa kwenye uchapishaji huu, na kwamba imefanywa tu kwa kutaka radhi za Allah (s.w.t.).
Namshukuru pia Akhiy Mohammed Kanju aliyegeusha kitabu hiki kwenye Kiswahili.

Mtumishi wa Allah

Bashir Alidina