Tangazo

Ukitaka kuifahamu dini yako sawasawa, ujitegemee ki elimu na uweze kujitatulia matatizo yako ya kidini, jiunge na ndugu zako katika masomo ya posta yatolewayo bure na Bilal Muslim Mission of Kenya, P.O. Box 82508, Mombasa.

Baada ya kuhitimu masomo yako utapawa shahada (certificate) yenye kuthibitisha ujuzi wako wa dini ya islam.

Hakuna ujuzi maalum utakikanao na badala yake anakaribishwa yeyote atakaye kujiunga nasi.

Hata wasio waislamu kadhalika watapokewa ill waweze kuujua ukweli wa dini ya Islamu.

Pia ukiwa na mushkili wowote ule au maswali juu ya dini ya Islamu unaweza kutuandikia na masiala yako yote utatatuliwa na kujibiwa mungu akipenda.