Table of Contents

Sura Ya Tatu: Majosho Ya Sunna

i. Majosho ya Sunna ya wakati maalum.

ii. Majosho ya Sunna ya sehemu maalum.

iii. iii.Majosho ya Sunna kwa ajili ya vitendo maalum

Jedwali La Majosho Ya Sunna Ya Nyakati Maalum

NO JINA LA JOSHO WAKATI WAKE
1 Ijumaa (ni Sunna iliyohimizwa) Kuanzia adhana ya asubuhi mpaka adhana ya adhuhuri
2 Siku zote za usiku tasa unaopati kana ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhan Usiku wote, na bora akutanishe na kuzama kwa jua
3 Usiku wa 15, 17,19,21,23,25,27, na 29 katika mwezi mtukufu wa Ramadhan (ni Sunna iliyohimi zwa) Kati ya Magharibi na Isha
4 Usiku wa ishirini na tatu ya mwezi wa Ramadhan (josho la pili) Mwisho wa usiku
5 Siku ya siku kuu ya Idi ya kufunga
(ni Sunna iliyohimizwa)
Kuanzia kuchomoza kwa alfajiri mpaka adhuhuri, na hienda ikawa ni mpaka kuzama kwa jua.
6 Siku kuu ya Idi ya Kuchinja (ni Sunna iliyohimizwa) Kuanzia kuchomoza kwa alfajiri mpaka adhuhuri, na inaweze kana mpaka kuzama kwa jua.
7 Siku ya nane ya Mfungo tatu (Siku ya Tar’wiya) Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi
8 Siku ya tisa ya Mfungo tatu (Siku ya Arafa) Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi
9 (Mwezi wa Rajaba) Siku ya kwanza ya Mfungo kumi, ya mwisho na nusu yake Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi
10 Siku ya Maapizano Mubahala (Mwezi ishirini na nne ya Mfungo tatu) Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi
11 Siku ya ishirini na tano ya Mfungo pili Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi
12 Siku ya Mtume kukabidhiwa Utume (Mwezi ishirini na saba ya Mfungo kumi) (Rajabu) Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi
13 Siku ya nysy ta Mfungo kumi na moja (Shaban) Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi
14 Siku aliyozaliwa Mtume, Mwezi kumi na Mfungo sita Wakati wa Adhuhuri ni bora zaidi

Jedwali La Majosho Ya Sunna Ya Sehemu Maalum

NO MAHALI WAKATI
1 Josho kwa ajili ya kuingia Eneo Tukufu la Makkah Kabla ya kwenda (bila kuwepo umbali mkubwa)
2 Josho kwa ajili ya kuingia Makkah Kuoga mwanzo mwa mchana kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake, na kuoaga mwanzo wa usiku kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake
3 Josho kwa ajili ya kuingia Miskiti Mtukufu Kuoga mwanzo mwa mchana kunatosheleze kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake, na kuoga mwanzo wa usiku kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake
4 Josho kwa ajili ya kuingia Kaabah Kuoga mwanzo mwa mchana kunatosheleze kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake, na kuoga mwanzo wa usiku kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake
5 Josho kwa ajili ya kuingia Eneo Tukufu la Madina Kuoga mwanzo mwa mchana kunatosheleze kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake, na kuoga mwanzo wa usiku kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake
6 Josho kwa ajili ya kuingia Madina Yenye Nuru Kuoga mwanzo mwa mchana kunatosheleze kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake, na kuoga mwanzo wa usiku kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake
7 Josho kwa ajili ya kuzuru Misikiti wa Mtume Kuoga mwanzo mwa mchana kunatosheleze kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake, na kuoga mwanzo wa usiku kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake
8 Josho kwa ajili ya kuzuru maneneo ya makaburi matukufu ya Maimamu Waliyo takaswa Kuoga mwanzo mwa mchana kunatosheleze kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake, na kuoga mwanzo wa usiku kunatosheleza kwa ajili ya kuingia mwishoni mwake

Jedwali Ya Majosho Ya Sunna Ya Vitendo Maalum

NO SABABU WAKATI
1 Josho kwa ajili ya kuhirimia Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
2 Josho kwa ajili ya kutufu Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
3 Josho kwa ajili ya ziara Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
4 Josho kwa ajili ya kusimama Arafa Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
5 Josho kwa ajili ya kusimama Mash’ari Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
6 Josho kwa ajili ya kuchinja Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
7 Josho kwa ajili ya kunyoa nywele (Hija) Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
8 Josho kwa ajili ya kumwona Ma’suum (a.s) usingizini Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
9 Josho kwa ajili ya Swala ya Haja Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
10 Josho kwa ajili ya Istikhara Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
11 Josho kwa ajili ya Amali za siku ya Ummu Daudi Kabla ya kitendo, na si vibaya kuwepo mwanya kati ya kuoga mwanzoni mwa mchana na kutenda mwishoni mwake.
Na hivyo kwa upande wa usiku
12 Josho kwa ajili ya safari Kabla ya kitendo
13 Josho la kumzuru Imamu Hussein (as.) Kabla ya kitendo
14 Josho la Swala ya Kuomba mvua Kabla ya kitendo