Je Kufunga Mikono

Ni Bidaa au Sunna? Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Sunna
Publisher(s): 

Kufunga mikono katika Sala: Sheria ya Kiislamu ni ya kipekee kwa kuwa inahusika na kila jambo huku ikiweka utatuzi wa matatizo yote yanayompata mwanadamu katika sekta zote za maisha yake, hivyo Mwenyezi Mungu akasema: "Leo nimewakamilishieni dini yenu na kuwatimizieni neema Yangu na nimewapendeleeni Uislamu uwe dini yenu." (5:3).

Translator(s): 
Category: 
Person Tags: