Kupaka Juu Ya Khofu

Kwa Mtazamo Wa Qurani Na Sunna
Publisher(s): 

Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Mas’hu ‘Ala ‘l-Khuffayn" Sisi tumekiita: "Kupaka Juu ya Khofu."
Kitabu hiki, "Kupaka Juu ya Khofu" ni matokea ya utafiti wa kielimu uliofanywa na Mwanachuoni wa Kiislamu, Jafar Subhany.

Translator(s): 
Category: 
Person Tags: